Mbowe ana wajibu wa kuandaa kizazi kipya nje ya Lema, Heche, Lissu, Dkt. Slaa, alichokifanya yupo sawa Lema kubali kuchutama

Mbowe ana wajibu wa kuandaa kizazi kipya nje ya Lema, Heche, Lissu, Dkt. Slaa, alichokifanya yupo sawa Lema kubali kuchutama

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Hawa waropokaji ALIYE Walea hata wakikataa upo mchango mkubwa wa siasa zao za Leo kutoka kwa rinjendari wa siasa Dr Freeman Aikaell Mbowe.

Kwa takribani miaka 21 Mh Mbowe alifanikiwa kutuletea hao watu ambao wao hawakuwai kumrithi kwa adabu Badala yake wanataka kumrithi kwa kumchagua na kumkebei na kumtusi.

Mbowe alitakiwa kuwa na staili ya NYANI, alitakiwa mtu anakaa miaka mitano anastafishwa akakae na mkewe huko auze mahindi au arudi kwenye udereva daradara

Lazima tukubali wakina mwaipaya sio TU taifa linawaitaji kwenye siasa WAENDE wakafanye shughuli nyingine za kiuchumi wajikomboe
 
Back
Top Bottom