Mbowe analala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka. Vijana mna la kujifunza hapa

Mbowe analala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka. Vijana mna la kujifunza hapa

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Mods hapa ni chitchat na sio jukwaa la siasa. Huu uzi ni wa kuwatania vijana wetu wanaoogopa kulala rumande wakati kuna watu wanalala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka na hawakondi wala hawaogopi kurudi tena na tena

...!!
 
Vijan wenyewe sasa .
163192.jpg
 
si mbaya, kila mtu anacho anachokipambania…wapo wanaolala makaburini mara 20 kwa mwaka pia na wala hawaogopi😂😂
 
Mods hapa ni chitchat na sio jukwaa la siasa. Huu uzi ni wa kuwatania vijana wetu wanaoogopa kulala rumande wakati kuna watu wanalala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka na hawakondi wala hawaogopi kurudi na na tena

...!!
Hawa vijana wanao share vipodozi na dada zao?
Hawa vijana wanaompiga mwizi na maganda ya maya?
 
Umeona gari aliyoingia mbowe baada ya kukamatwa? Una la kujifunza hapo.
 
Kama alikataa QURUJUAN isisomwe basi kijana hana la kujifunza kwake.
 
Mods hapa ni chitchat na sio jukwaa la siasa. Huu uzi ni wa kuwatania vijana wetu wanaoogopa kulala rumande wakati kuna watu wanalala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka na hawakondi wala hawaogopi kurudi tena na tena

...!!
Kwa mara ya kwanza Leo umeongea sense
 
Hawa vijana wanao share vipodozi na dada zao?
Hawa vijana wanaompiga mwizi na maganda ya maya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila babuu umechachukaa siku hizii. Lol
 
Back
Top Bottom