Mbowe anaona kila ampingae anamtukana

Mbowe anaona kila ampingae anamtukana

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.

Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele ya press kuwa Mbowe ni baba yake kisiasa , amemlea na anamheshimu , bado Mbowe anadai Heche anamtukana.

Amekuja Lema , kumuunga mkono Lisu tu, Mbowe anadai Lema anamtukana.

Sasa Ndugu Freeman Mbowe, ni matusi gani unatukanwa unayoyasikia wewe tu na wengine hatuyasikii wala kuyaona ?

Mwisho, Ndg Mbowe, punguza kulialia kwenye press unazozifanya, jenga hoja kwa nini upewe miaka mingine mitano ? Na kwa nini miaka 21 unaona haijakutosha?
 
Lissu anatumia nguvu nyingi hizi nistyle za kibaya kujitembeza!! Kimsingi iwapo yeye ni the best angegombea kistaarabu!!
Shida lisu,Lema,msigwa,heche wanaonekana kams wavutabangeama wasela flani Sasa watajengaje chama Kwa style za kihuni??
 
Tupe fact, ni style zipi hizo za kihuni?
 
Pamoja na usaidizi wa Dola behind the scenes bado mambo magumu , pamoja na usaidizi wa vyombo vya habari, baadhi ya waandishi , watangazani kuegemea upande hadharani, kumuuliza Lissu maswali ya ajabu yasiyokuwa kichwa Wala miguu , yakitumwa kwenye simu ,sms kwa kijakazi na Odemba mambo bado ni magumu kwa kipenzi Cha mama Abdul .
 
Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.

Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele ya press kuwa Mbowe ni baba yake kisiasa , amemlea na anamheshimu , bado Mbowe anadai Heche anamtukana.

Amekuja Lema , kumuunga mkono Lisu tu, Mbowe anadai Lema anamtukana.

Sasa Ndugu Freeman Mbowe, ni matusi gani unatukanwa unayoyasikia wewe tu na wengine hatuyasikii wala kuyaona ?

Mwisho, Ndg Mbowe, punguza kulialia kwenye press unazozifanya, jenga hoja kwa nini upewe miaka mingine mitano ? Na kwa nini miaka 21 unaona haijakutosha?
Mbowe amevurugwa akili yake haiko sawa.
 
Tupe fact, ni style zipi hizo za kihuni?
Matusi,kashfa,miropoko na maneno ya hovyo kama matope ya ikulu, presidential rubbish, professorial rubbish,dikteta uchwara,profesa muongo nk. nk.
Kiufupi lissu,msigwa,Lema nagenge lao hawana busara
 
Back
Top Bottom