Mbowe anaposema Yeye na wenzake 10 ndio waliasisi Chadema nadhani anahofia Lisu akishinda atatenda Sawa Sawa na Hesabu 33:55

Mbowe anaposema Yeye na wenzake 10 ndio waliasisi Chadema nadhani anahofia Lisu akishinda atatenda Sawa Sawa na Hesabu 33:55

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kitabu cha Hesabu 33:55 ndio kinamsumbua Netanyahu hata sasa huko Palestine

Hesabu 33:55 Lakini msipowafukuza kwanza Wenyeji wa Nchi hiyo wale watakaobakia Watakuwa kama Miiba kwenu kila Upande na watawasumbua

Kama Freeman Mbowe anasimamia mstari huu yuko Sahihi kabisa Kwa sababu Chadema Wakuja ndio Wengi kuliko Chadema Wenyeji lolote laweza kutokea

Ilitokea Kwenye CUF ya Mapalala na ikatokea Kwenye TLP ya yule Mzee wa Kihaya aliyesigina Katiba Jangwani

Ahsanteni Sana

Baadaye Mlale Unono 😀
 
Back
Top Bottom