Leo Freeman Aikael Mbowe akiongozana na Godbless Lema Mwenyekiti anayemaliza muda wake kanda ya Kaskazini pamoja na Catherine Ruge walikuwa na mkutano wa hadhara Kijiji cha Nshara nyumbani kwao Mbowe.
Ni kama Amekataliwa kutokana na idadi ndogo ya watu waliojitokeza huku idadi kubwa ikiwa ni watoto wadogo chini ya miaka 10 si kama vile ambvyo imezoeleka makundi ya vijana na kina mama ambao wamekuwa wakimpa support Mbowe.
Kuna mahali chadema na Mbowe wanakosea au ndiyo njia ya NCCR, TLP, CUF na Sasa ni zamu ya chadema kuipita yaani mwisho wa enzi.