Mbowe angemchagua Makamu Mwenyekiti wa umri kama wa Wasira au Lwaitama, asingekuwa anahangaika kutuliza chama, hawana tamaa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Wasira au Lwaitama ni watu ambao hawana tamaa kutokana na umri wao. Wana hekima, tofauti na Lissu ambaye muda mwingi anazurura akitukana kila mtu barabarani.

Hongera CCM
 
Mbowe angemchagua Makamu Mwenyekiti wa umri kama wa Wasira au Lwaitama, asingekuwa anahangaika kutuliza chama, hawana tamaa.
Kwani CHADEMA kuna utaratibu wa mwenyekiti wa chama kwenda kwenye mkutano na jina moja la kupigiwa NDIO au HAPANA?
CHADEMA kila mmoja anapambana kivyake ndio maana Odero wala hajui na hajali nani atakuwa makamu wake
 
Kuna nafasi zinahitaji ukomavu wa fikra,busara na uvumilivu.Sio kia mtu anaweza kua na hicho kipaji.Wengi wao ni mihemko nakushindwa kudhibiti hisia zao.
 
Wasira au Lwaitama ni watu ambao hawana tamaa kutokana na umri wao. Wana hekima, tofauti na Lissu ambaye muda mwingi anazurura akitukana kila mtu barabarani.

Hongera CCM
Cdm sio chama kilichokabidihi bongo zake kwa wazee.
 
Wasira au Lwaitama ni watu ambao hawana tamaa kutokana na umri wao. Wana hekima, tofauti na Lissu ambaye muda mwingi anazurura akitukana kila mtu barabarani.

Hongera CCM
Unafikiri CCM hawajaliona hilo? 🤣 🤣 🤣
 
Wasira au Lwaitama ni watu ambao hawana tamaa kutokana na umri wao. Wana hekima, tofauti na Lissu ambaye muda mwingi anazurura akitukana kila mtu barabarani.

Hongera CCM
Kwa hiyo vijana hawaaminiki , hata ccm?
 
Wasira au Lwaitama ni watu ambao hawana tamaa kutokana na umri wao. Wana hekima, tofauti na Lissu ambaye muda mwingi anazurura akitukana kila mtu barabarani.

Hongera CCM
Alikuwepo Mzee ambaye ni Profesa Safari na walishindwa safiri pamoja.

Shida na kansa ya Chadema ni Mbowe
 
Back
Top Bottom