Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu atakuwa upande wake. Atampa tuzo kupitia mateso anayopata Kama lengo lake NI Democrasia ya kweli na sio maslahi binafsi.

Akina Mandela na Mughabe walionewa na kukaa jela zaidi ya miaka 10. Mosood Abiola ndio alama ya Democrasia ya Africa Maghalibi. Alikaa jela Miaka 4 hivi. Walivyomtoa na kumwaachia na baadae kufa gafla na. Nigeria.

Kama lengo ni Democrasia Basi asugue tu roca.
 
Back
Top Bottom