Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtetezi wa wanyonge tunakuunga mkono katika juhudi za ukombozi wa mtanzania.
View attachment 3081275
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe, leo Agosti 28, 2024 amefika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam ili kusikiliza shauri linalowakabili viongozi wawili wa Baraza la Umoja wa Vijana Chadema (Bavicha) Wilaya ya Temeke na dereva wa pikipiki wanaodaiwa kushilikiwa kizuizini na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke jijini Dar es Salaam kwa siku 10.