Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye heshima, hadhi, maono, chama kilichojaa matumaini ya wote wanaoitamani kesho iliyobora zaidi.
Mbowe asema aliahidi kuwa watafanya uchaguzi wa kihistoria, sasa dunia imeona wenyewe, kuwa kile kalichoahidi wamekitenda.
Mbowe amewashukuru Lissu pamoja na Makamu wake Heche kwa ushiriki wao, asema anapomkabidhi vijiti vya kuiongoza CHADEMA
Wamefanya uchaguzi huru na haki ambao kila mtu ameona, lakini uchaguzi ni mchakato, na hili halipaswi kuwa tukio la siku mmoja, inatakiwa kuwa mchakato wote unaojengwa hadi siku ya mwisho.
Kwa namna ambavyo wagombea na mashabiki wao walifanya kampeni na wapambe wao umeacha maumuvu na majera makubwa makubwa ambayo yameumiza wengi na yanapaswa kuponywa ili kutoharibu brand ya CHADEMA
Ushauri wake kwao ni kuwa waende kuponya chama. Anasema moja ya mambo aliyoahidi kufanya kama angepewa nafasi ya kuwa Mwenyekiti kwa mara nyingine ni kuunda Tume ya Ukweli na Upatanishi, ili watu wakazungumze kuhusu maumuvu yaliyotokea ili wote wakaongee, kupatana na kuponya maumivi.
Mbowe asema awaasa kama baba wa chama, ila akaongeza kuwa anawaagiza kuunda tume ya ukweli naupatanishi kutibu majeraha ili waweze kujenga umoja. Asema kuwa alisema ulishindi wa yeyote ni ushindi wa chama, kusiwe na yeyote atakayefanya kiburi bali wafanye kazi kwa umoja na kujenga chama.
Asema wasitembee kwa mawazo yao binafsi bali watumie katiba yao, na pale wanapoona kuna upungufu kwenye katiba washirikiane na wengine katika kutafuta suluhu.
Mbowe amalizia kwa kusema anaondoka CHADEMA akiwa anajivunia sana kwa kazi aliyoifanya kwa zaidi ya miaka 30

Mbowe asema aliahidi kuwa watafanya uchaguzi wa kihistoria, sasa dunia imeona wenyewe, kuwa kile kalichoahidi wamekitenda
Nampongeza sana Mbowe kwa kuendesha uchaguzi wa haki na uwazi usio na chembe ya shaka licha ya kelele, shutuma za kupakaziwa na wafuasi wa Lissu kuwa ametoa rushwa kwa wajumbe, ataiba kura, ameingiza wapiga kura feki, kutukanwa na kila aina ya uchafu lakini bado alibakia muungwqna.
Mbowe cmeweka rekodi na historia ya kuendesha uchaguzi ambayo hakuna chama kilichowahi kufanya hapa Tanzania.
Umeiacha CHADEMA ikiwa ni taasisi yenye mtandao nchi nzima na imara.

ameongea vizuri ila hapo anaposema anawaagiza kuunda tume ya ukweli na upatanishi inaleta ukakasi fam anawaagiza viongozi waliochaguliwa kama nani au alipaswa awashauri?

Hawezi. Amewasingizia watu kuwa wamepewa rushwa na CCM, ataanzaje kusema kuwa alikuwa anatania? Timu yake na yeye mwenyewe ni watu wa visasi. Bila kuwashughulikia wakina Wenje, Ntobi, Yericko, Boni Yai, Kigaila n.k. chawa wake hawataridhika. Wafuasi wake hawataridhika bila kuwaonyesha watu kuwa Mbowe alikuwa anatumia CDM kujitajirisha.
Ushauri wangu kwa Mbowe na wale wenye imani nae ni wakae mbali na uongozi mpya maana hautasita kuwaangushia jumba bovu mambo yakianza kuwa mabaya. Wao wamesema hawataki busara na kuwa Mbowe ni msaliti. Awaache watuonyeshe hiyo njia watakayotumia isiyokuwa na busara.