johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kha..shashooo mekuu!Aliyekuwa Naibu katibu mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe amesema MTU pekee mwenye credibility ya kuizungumzia kufukuzwa kwake Chadema ni Mh John Heche Kwa sababu ndiye mjumbe wa CC aliyesimama kidete kumtetea
Zitto Kabwe ameongea Ukurasani kwake X
Ahsanteni πΌππ₯
Wote waliohusika Zitto kufukuzwa walifanya kazi nzuri sana. Zitto angekuwa mwenyekiti CHADEMA isingekuwa hapa ilipo. Mbowe ana makandokando yake ila kwenye suala la Zitto alikuwa sahihi.Aliyekuwa Naibu katibu mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe amesema MTU pekee mwenye credibility ya kuizungumzia kufukuzwa kwake Chadema ni Mh John Heche Kwa sababu ndiye mjumbe wa CC aliyesimama kidete kumtetea
Zitto Kabwe ameongea Ukurasani kwake X
Ahsanteni πΌππ₯
Walikuwa sahihi kabisa kumfukuza Zitto. Siyo wote walioondoka Chadema Mbowe ndiye chanzo. Tangu ameanzisha hiki chama chake mbona hakiendi popote na amebaki kuwa chawa wa Samia tu? Hivi kama CUF isingemeguka chama cahke kingekuwa kwenye hali gani?ZItto ali point out kwamba wa kwanza kutekeleza maamuzi baada tu yeye kushindwa kesi alikuwa Lissu.
Tuliza kalio dogoSiasa za kipuuzi sana hizi. Yaani kauchaguzi kadogo tu vurugu luuundo kmmk..
Chama cha kijinga sana kile..
Ulitaka agome kutekeleza maamuzi ya kamati kuu?ZItto ali point out kwamba wa kwanza kutekeleza maamuzi baada tu yeye kushindwa kesi alikuwa Lissu.
Nakubali mkuu,Wote waliohusika Zitto kufukuzwa walifanya kazi nzuri sana. Zitto angekuwa mwenyekiti CHADEMA isingekuwa hapa ilipo. Mbowe ana makandokando yake ila kwenye suala la Zitto alikuwa sahihi.
Hata chadema ilinufaika kwa kumeguka nccr, ndipo ikawapata hawa kina Lissu, Mabere, Komu...Walikuwa sahihi kabisa kumfukuza Zitto. Siyo wote walioondoka Chadema Mbowe ndiye chanzo. Tangu ameanzisha hiki chama chake mbona hakiendi popote na amebaki kuwa chawa wa Samia tu? Hivi kama CUF isingemeguka chama cahke kingekuwa kwenye hali gani?
Mpumbavu wewe kwa kumlinganisha Mungu na vitu vya kupita.Mwezi mzima ni wao wao tu na kelele zao utafikiri ni uchaguzi wa kuteua Mungu. Pumbv kabisa..
Kamuulize Zitto kwa nini kasema hivyo, na kwa nini hakutajΓ mtu mwingine zaidi ya Lissu na Lema.Ulitaka agome kutekeleza maamuzi ya kamati kuu?
Kosa la zito lilikuwa kugombea nafasi ya sultani Mbowe anayedhani uenyekiti ni mali yake na ukoo wake
Wanamtaka Lisu ACT wazalendo wakivizia kuwa labda atahama na Chadema wengiZItto ali point out kwamba wa kwanza kutekeleza maamuzi baada tu yeye kushindwa kesi alikuwa Lissu.
Chaumbea katika ubora wakoAliyekuwa Naibu katibu mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe amesema MTU pekee mwenye credibility ya kuizungumzia kufukuzwa kwake Chadema ni Mh John Heche Kwa sababu ndiye mjumbe wa CC aliyesimama kidete kumtetea
Zitto Kabwe ameongea Ukurasani kwake X
Ahsanteni πΌππ₯
Mbowe na Lissu baada ya uchaguzi watakuwa kitu kimoja,haondoki mtu hapo.Hata chadema ilinufaika kwa kumeguka nccr, ndipo ikawapata hawa kina Lissu, Mabere, Komu...
Mbowe akitoka chadema hawezi anzisha chama cha kufikia hadhi ya ACT.
Zitto alikuwa msaliti kweli alitumiwa na TISS kuihujumu Chadema na ushahidi wote uliwekwa waziBaada ya Lissu kusema hawezi kuhamia ACT jamaa katokeza chapu, Lissu anawaumiza sana kichwa watu ππ