comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mbowe: Polisi watoe ushahidi mipango ya maandamano, kikao cha Zoom
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekanusha kufanyika kwa kikao cha viongozi wa chama hicho kupanga maandamano kupitia mtandao wa Zoom, huku akilitaka Jeshi la Polisi kutoa ushahidi wa kikao...