G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Sababu zetu ni zile zile.
1. Hatujui kwanini unagombea awamu hii. Huna ilani wala vipaumbele! Tutakupima vipi?
2. Umeishiwa mbinu na hilo linaonekana waziwazi kwenye muelekeo wa wanachama.
3. Huna tena ushawishi ukilinganisha na wengine.
4. Una harufu ya kuhongwa na CCM. Unaonekana pasipo chembe ya shaka kuwa umeshanunuliwa. Vihashiria Vya waziwazi vipo.
5. Unaungwa mkono na CCM. Mgombea wa upinzani anayeungwa mkono na viongozi wa CCM hajawahi kuwa mgombea salama hata kidogo.
6. Unaunga mkono serikali. Hiyo ni ishara tosha kuwa umevunjwa meno tayari.
7. Wanaokuunga mkono hawana faida yoyote kwa harakati za chama, hawajawahi hata kuitisha mkutano wa watu kumi wakaiongolea CHADEMA zaidi ya kusubiri viongozi wa kitaifa. Hawa wanaonekana ni MACHAWA dhahiri.
8. Umekuja na hoja nyepesi, hazipimiki wala hazina "tune" ya kukikwamua chama kutoka hapa kilipo.
Kwanini huelewi? Una shida gani kichwani mwako? Mbona haya yapo wazi? Najikuta nikijijibu kumbe ni madhara ya kulamba asali!