Pre GE2025 Mbowe badilika sasa, waambie wanaCHADEMA utawafanyia nini kipya ikiwa utachaguliwa tena

Pre GE2025 Mbowe badilika sasa, waambie wanaCHADEMA utawafanyia nini kipya ikiwa utachaguliwa tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena.

Muda mwingi amekuwa akijibu shutuma zinazomhusu na kujitetea kwanini anastahili kuendelea kukalia hicho kiti kwa miaka mingine mitano zaidi.

Watanzania wanataka kumsikia Mwamba akisema ana agenda gani mpya ya kuivusha Chadema kisiasa.

Mbowe badilika sasa, muda umesonga, zimebakia wiki mbili tu kura kupigwa, wanaChadema ambao bado hawajaamua kwa hakika nani wampe kura zao wanasubiri kusikia pande zote ili waamue.
 
Back
Top Bottom