comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mhe. Freeman Mbowe akihutubia DIASPORA mwaka 2012.
“Ninaamini Mpo ndani ya CHADEMA leo kwa sababu kuna mambo mmeridhika nayo ndani ya CHADEMA. Nawaomba sana, siku mtakapoona CHADEMA imepoteza mwelekeo; CHADEMA imeshindwa kutoa matumaini kwa watanzania walio wengi, tafadhali msifunge ndoa na chama hiki. Tafuteni kweli na haki sehemu nyingine.”Ishukuriwe teknolojia!