Ndio. Mfate lissu chauma
Serikali si mnaona wanatulazimisha kusema ili mtufunge 😹
Ni asali jamani, kwa nini apokonywe utamu huo ?Mbowe ni mjinga anayeharibikia uzeeni
Hapo ni kabla ya kulambishwa asali, tuwekeeni na clip za after kulambishwa wild honey ile yenye kulewesha.Mnazidi kufukua makaburi
Hahah leteni sisi tutaangalia mkuuKabla ya kulambishwa asali, tuwekeeni na clip za after kulambishwa wild honey ile yenye kulewesha.
Ha ha ha ngoma kumbe inakwenda kwa Mzee wa Ubwabwa siyo !!Ndio. Mfate lissu chauma