Mbowe, Dr Slaa na Mnyika ni viongozi hovyo hovyo

Wakali wa habari,

Mwenzenu nimetoka nje. Hii inakuwa kama unaangalia ile FILM ya LOST.

Nashindwa kuelewa kuwepo kwa Marehemu Wangwe na KUKOSEKANA kwa Zitto.

Ngoja nisubiri PICHA maana kama huelewi litaishaje, ndiyo UNAFAIDI ZAIDI.

Kweli mkuu raha ya film usijue mwisho wake pia usiwe mshabiki wa starring wala adui LOL!! angalia style tu! ama sivyo.. presha i-ta-ku-pa-nda!!Very same story different people. Akili mu kichwa

Inakuwa kama film ya Wild things, kuna twist kibao, hujui nani wa kumuamini!
 
By the way, gazeti Tazama ni la fisadi nani?
 
Binafsi namshukuru mtoa hoja. Wana JF nawashauri tulifanyie kazi hili ili tuweze kupata ukweli wa yaliyosemwa na ndugu yetu kuhusiana na tabia mbaya na ya ubinafsi viongozi waandamizi wa chama ya demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Halafu, basi tujiridhisha tutarudi kujadili na kuwasaidia watanzania wenzetu wakiwemo wanachama wa chama husika kutoa mapendekezo mbadala juu ya namna ya kuliondoa tatizo hilo.
 
huyu habari ndio hiyo ana harufu kali ya kifisadi na wazi amejionyesha kuwa yeye ndio wa hovyo hovyo! ni hayo tu...
 
Juzi hapa Uongozi wa CHADEMA wameleta details zao jinsi vikao vinavyoendeshwa, Uidhinishaji wa pesa zao ngazi kwa ngazi, uchaguzi wao, Mbowe/Ndansamburo anadai ngapi kwenye chama, mavitu kibao tukasoma hapa mwenye dukuduku akaelezea na uongozi ukajibu hapa hapa live, Sasa mnataka tuanze kujadili umbea huu, mwishowe tutakuwa kama wale kwenye kikao cha Mzee Mwinyi.

Kinachochekesha ni kuwa kila siku ni CHADEMA, lakini NCCR, NLD, CUF haviguswi. Kuna namna.
 
Hata TANZANIA DAIMA la Mbowe lina mwelekeo mmoja kama hivi sasa wa kumshambulia Zitto left and right.
 
watuuuuuuuuuuuu pipoooooooooooooooo. we!!!!!!!!!!1 wewe shatapppppppppp!!!!!! wewe ndo wa ovyo ovyo kwani nani asiyekujua wewe ni RA
 
Hivi mnamjua haswa mmiliki wa hili gazeti TAZAMA?
 
kweli wabongo hamjitambui,hata kujaribu kufanya utafiti kidogo ili mubaini ukweli hamtaki.mmeshahukumu kwamba that's a mission, na mumeishia hapo.

Aliyewapumbaza na hiyo chadema yenu alaaniwe kwani kawatia upofu watanzania wengi,na hii ni kutokana na kukatishwa tamaa na chama cha mafisadi (CCM).

Siku mkija kutambua ubovu wa CHADEMA mtakuwa mshachelewa
 
Lemme tell you a simple thing:

Hakuna anayeweza (kama ni mzalendo wa kweli na ni mwenye kuipenda nchi hii) kuitetea CHADEMA na kusahau maslahi ya nchi akatetea uozo ukijitokeza ndani ya chama, kumbuka mpaka Rev. Kishoka alikuja na idea ya kuja na chama mbadala, kumbuka mpaka Mzee Mwanakijiji alihoji Mbowe kuhodhi baadhi ya madaraka aliyo nayo ndani ya CHADEMA... etc,

Mawazo ya wachache ndani ya JF hayamaanishi ni mawazo ya wote, kuna watu ndani ya JF unaweza kuwasoma ukaelewa wanabeba mtizamo wa JF kwa upana zaidi, huenda wewe mmojawapo! JF ni wewe, na wewe ni JF, kuwa sehemu ya mabadiliko, ndo maana nikasisitiza, hakuna kukataa hata alerts ndogo zinapokuja, waliokuwa wanataka kusema huu ni uwongo na umbea unaletwa JF nikawasisitizia wasitake kuupuuza, ni vema kuusoma na kuurudia mara mbilimbili kuutafakari kuweza kujua dhamira yake nini na kwanini!

Hapo ni rahisi kujua dhamira ya mwandishi na aidha kumpuuza au kuchukua hatua kumjibu kwa vitendo ama kwa kukaa kimya!
 
Hata TANZANIA DAIMA la Mbowe lina mwelekeo mmoja kama hivi sasa wa kumshambulia Zitto left and right.
Well, sitaki kubishana juu ya Mbowe kuwa mmiliki wa Free Media, same applies kwa Mengi kuwa na IPP Media... Basi malizia mkuu, TAZAMA la nani? Halafu acha kuonesha unamtetea Zitto sana, unamwaribia mkuu. Talk to him via telephone mwulize "Who is Invisible" atakweleza vema!
 

Kuwa na mawaa sio sababu ya kukaa kimya.Mbona wewe pamoja na upungufu wa uwezo na busara umeweza kusema kitu flani sasa iweje hao unaodai wenye mawaa wasiseme kinachosemwa na kila Mtanzania mwenye akili timamu.Hizi fedha za mafisadi zishaanza kazi yake.
 

wewe ni miongoni mwa watanzania wapumbavu sana
 
Hii makala ni ya kuchonga na haina lolote la maana zaidi ya porojo
 
Nimesoma vizuri hii makala lakini inakila dalili ya uchambuzi wa mtizamo wenye kujadili watu zaidi kwa chuki badala ya kujadili jambo.

Kwangu mimi sina tatizo kama CHADEMA wanatuhumiwa na baadhi ya wananchi basi ni vyema wakaweka wazi mapato na matumizi yao ili watanzania tuweze kujua ukweli ni hupi. Na kwa jambo hili ni vyema wakamtafuta mkaguzi mkuu wa hesabu ambaye ni "independet" akakagua matumizi ya RUZUKU wanazopata.

Ni kwanini CHADMA
 
Nimesoma vizuri hii makala lakini inakila dalili ya uchambuzi wa mtizamo wenye kujadili watu zaidi kwa chuki badala ya kujadili jambo.

Kwangu mimi sina tatizo kama CHADEMA wanatuhumiwa na baadhi ya wananchi basi ni vyema wakaweka wazi mapato na matumizi yao ili watanzania tuweze kujua ukweli ni hupi. Na kwa jambo hili ni vyema wakamtafuta mkaguzi mkuu wa hesabu ambaye ni "independet" akakagua matumizi ya RUZUKU wanazopata.

Ni kwanini CHADEMA tu peke yao watuhumiwe na si vyama vingine, ni kwa muda mrefu sasa hili jambo la matumizi mabaya ya ruzuku limezungumziwa lakini viongozi wa chadema hawajachukua hatua sahihi ya kulizungumzia, mimi na sema kama wanafanya siasa katika hili basi napata wasiwasi kuwapigia kura ktk uchaguzi ujao. Kwa upande mwingine ni ngesahuri kwa mwandishi awe objective zaidi kwa kuzungumzia jambo na kuepuka kuattack personalities jambo ambalo halitasaidia...
 

CHADEMA ni tishio kwa mafisadi ndio maana wanatumia kila njia kupunguza imani ya watu kwake. Kama Mbowe kaiba hela ya chama inaondoa ukweli kwamba kuna ufisadi wa EPA, Richmond na uchafu wote uliofichuliwa na Dr, Slaa?

Sijaelewa kama hoja kubwa ya mwandishi ni kuhalalisha ufisadi uliopo serikalini au ni kwamba akina silaa hawana haki ya kuhoji wizi wa fedha za walipa kodi kwa vile nao ni wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…