Mbowe epuka makosa haya kukinisuru CHADEMA

Mbowe epuka makosa haya kukinisuru CHADEMA

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
Wakuu habari ya muda.

Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya.

Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif Hamad alipokuwa CUF.Ni ukweli ambao haukipingika kuwa CUF ilikufa baada ya Seif Sharif Hamad aliyekuwa anakubalika (nguzo) kuondoka katika chama hicho,na alipo hamia ACT wazelendo supports karibu wote walihama nae.

Mazingira haya haya nayaona kwa CHADEMA dhidi ya Lissu,ukweli ni kuwa Lissu alikuwa Icon CHADEMA kupigia hoja zake Bungeni hata kabla Magufuli hajawa Rais,na katika Utawala wa Magufuli watu wote Tanzania tulikuwa tumeshika mioyo yetu wanaume 2 tu waliokuwa wanazungumza ni Magufuli& Lissu.

Ule umaarufu wake wa kutokana na hoja zake uliongezeka mara dufu baada ya majanga yaliyompata,ni basi tu hii nchi hii watu ni waoga kupindukia ingekuwa nchi kama Kenya-Tanzania kungekuwa na Serikali mseto hadi sasa.

Mtu wa design hii Mbowe na CHADEMA yake wakichukulia powa-Chama chote kitaenda kufa,Lissu sio Zitto,Chacha Wange au Kitila Mkumbo.Lissu ni maarufu kuliko hata Rais wetu SAMIA.

Leo hii ukimsimamisha Mh.Rais SAMIA na LIssu,katika mifumo huru Lissu anashinda mapema sana,sasa mtu wa namna hii ukimchukukia powa tegemea majanga.

Mbowe atumie busara aachie ngazi,kunusuri uhai wa CHAMA.Lasivyo CHADEMA ndio itakuwa by by kama CUF.
 
Back
Top Bottom