Pre GE2025 Mbowe Foundation ndani ya Chadema ichunguzwe, ina ufisadi wa kiwango kikubwa

Pre GE2025 Mbowe Foundation ndani ya Chadema ichunguzwe, ina ufisadi wa kiwango kikubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Tuhuma kuwa ndani ya Chama cha CHADEMA Kuna taasisi imeundwa inaitwa Mbowe Foundation lisichukuliwe kuwa ni Jambo la kisiasa, Hawa watu wamejitanabaisha kuwa wana uwezo wa kuongoza nchi, sio wajanja wajanja kama watanzania wanavyoamini lkn ndani yake Kuna uhuni, wizi na makandakando mengi tu.

Msigwa amedai kuwa kuna taasisi inaitwa Mbowe Foundation na secretariats ya Chama hicho imekuwa ikishirikiana na taasisi hiyo kufanya upigaji, national Takukuru ichunguze, CAG pia achunguze kwa maombi ya msajili WA vyama vya siasa nchini.

Pia soma > Kuelekea 2025 - Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?
 
Hawa watu wamejitanabaisha kuwa wana uwezo WA kuongoza nchi, sio wajanja wajanja kama watanzania wanavyoamini lkn ndani yake Kuna uhuni, wizi na makandakando mengi tu.
Hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwenye hicho chama ikiwa wenyewe hawawezi kujiongoza na kujiletea maendeleo wanalilia ruzuku kutoka kwa maadui zao wanao watukan kila kukicha.
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwenye hicho chama ikiwa wenyewe hawawezi kujiongoza na kujiletea maendeleo wanalilia ruzuku kutoka kwa maadui zao wanao watukan kila kukicha.
Id yako inaonesha kabisa we ni ubwabwa tepetepe
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwenye hicho chama ikiwa wenyewe hawawezi kujiongoza na kujiletea maendeleo wanalilia ruzuku kutoka kwa maadui zao wanao watukan kila kukicha.
Chunguzeni wizi wa pesa za uma CAG majinga nyie!
 
Back
Top Bottom