Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwenye hicho chama ikiwa wenyewe hawawezi kujiongoza na kujiletea maendeleo wanalilia ruzuku kutoka kwa maadui zao wanao watukan kila kukicha.Hawa watu wamejitanabaisha kuwa wana uwezo WA kuongoza nchi, sio wajanja wajanja kama watanzania wanavyoamini lkn ndani yake Kuna uhuni, wizi na makandakando mengi tu.
Id yako inaonesha kabisa we ni ubwabwa tepetepeHakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwenye hicho chama ikiwa wenyewe hawawezi kujiongoza na kujiletea maendeleo wanalilia ruzuku kutoka kwa maadui zao wanao watukan kila kukicha.
Huwez kuwa chadem akili akanyooka mfia mbowe utaishi kweny ndoto zisizotekelezeka huko viongoz wako wanakula raha tu we unatia kelele ka mwehuId yako inaonesha kabisa we ni ubwabwa tepetepe
Uwezi kuwa mjinga kama wewe ukiwa mochwari ukasema umefufuka kama weweHuwez kuwa chadem akili akanyooka mfia mbowe utaishi kweny ndoto zisizotekelezeka huko viongoz wako wanakula raha tu we unatia kelele ka mwehu
Chunguzeni wizi wa pesa za uma CAG majinga nyie!Hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwenye hicho chama ikiwa wenyewe hawawezi kujiongoza na kujiletea maendeleo wanalilia ruzuku kutoka kwa maadui zao wanao watukan kila kukicha.