Mbowe hakuwahi kusimamisha Wagombea Ubunge Nchi nzima Je Tundu Lisu ataweza October 2025?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa miaka 30 Chadema hawajawahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye Majimbo yote ya Tanzania

Na huu Ndio Mtihani mkubwa sana Kwa mh Tundu Lisu kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu

Ahsanteni sana 😄
 
Mambo yalitokea serikali za mtaa chadema ni aibu kuyasimulia kuhusu wagombea sijui kama ngazi ya udiwani na ubunge haitakuwa zima moto na kukurupuka!
 
Kwa miaka 30 Chadema hawajawahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye Majimbo yote ya Tanzania

Na huu Ndio Mtihani mkubwa sana Kwa mh Tundu Lisu kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu

Ahsanteni sana 😄
Unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa
 
zKwa miaka 30 Chadema hawajawahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye Majimbo yote ya Tanzania

Na huu Ndio Mtihani mkubwa sana Kwa mh Tundu Lisu kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu

Ahsanteni sana 😄
Kama kwa miaka zaidi ya 20 hajui hakuweza,unaanzaje kushangaa wa miezi miezi nane? Tumia tu hiyo akili ndogo utapata jibu la swali lako ib
 
Mbowe bado haamini kunyanganywa duka lake !!! Chawa wake wanazidi kulia lia kuna upinzani ndani ya upinzani....

NIkiwasikia walivyo na hasira kusa Mbowe kashindwa na hawana dola imagine wangekua na dola au wangekua wao ndio CCM!! Kumbe wasilaumu CCM kungangania madaraka wakati wao wenyewe hawataki...
 
Back
Top Bottom