johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mambo yalitokea serikali za mtaa chadema ni aibu kuyasimulia kuhusu wagombea sijui kama ngazi ya udiwani na ubunge haitakuwa zima moto na kukurupuka!Kwa miaka 30 Chadema hawajawahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye Majimbo yote ya Tanzania
Na huu Ndio Mtihani mkubwa sana Kwa mh Tundu Lisu kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu
Ahsanteni sana π
Unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwaKwa miaka 30 Chadema hawajawahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye Majimbo yote ya Tanzania
Na huu Ndio Mtihani mkubwa sana Kwa mh Tundu Lisu kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu
Ahsanteni sana π
Kama kwa miaka zaidi ya 20 hajui hakuweza,unaanzaje kushangaa wa miezi miezi nane? Tumia tu hiyo akili ndogo utapata jibu la swali lako ibzKwa miaka 30 Chadema hawajawahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye Majimbo yote ya Tanzania
Na huu Ndio Mtihani mkubwa sana Kwa mh Tundu Lisu kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu
Ahsanteni sana π