Mbowe hawezi ongoza watu wenye Akili. Tuambiane ukweli

Chadema inaongoza jimbo la kawe kwa miaka kumi sasa(Halima Mdee)...inasemekana jimbo la Kawe ndio wanakaa wasomi zaidi ( middle class) wengi kuliko majimbo yote Tanzania.. hoja yako haina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…