Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

Hii inadhihirisha wazi CCM mna manufaa na Mbowe.
Siasa za Lisu zinajurikana, Mbowe ni stateman, mwenye uwezo wa kucontrol ulimi wake.

Mungu hajamjalia hilo Tundu Lisu, ni mtu na nusu lakini ni mwanaharakati zaidi na mfomo wake hauna breki.

Ccm ni lazima wawe na interest na uchaguzi wa Chadema wao hawapo tayari kufanyakazi na Lisu hata system inamkataa.

Mnaodhani Mbowe ni mjinga bado mjifunze siasa na mkatae Chadema isipokee kutoka serikalini hizo pesa mnazoziita ruzuku.
 
Kazi anayoweza lissu ni uropokaji tu na Mihemuko.
 
Lucas naona mnamtafutia usajili hapo kwenu kama ule wa Leprofeser wa buguruni.
 
kibaraka la mabwenyenye ya magharibi anapiga myayo tu huko aliko..
tamaa, mdomo na makelele vimemponza, ataanza mwaka mpya2025 akiwa mikono backbencher chadema dah!

atakua mtu wa kuhudhuria mikutano ya hadhara tu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…