Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.