Mbowe jiuzulu umeshindwa kusimamia chama

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Mwenyekiti kwa niaba ya wanachama wote tunakusihi ni busara kujiuzulu uongozi kwenye Chama umeshindwa kuongoza chama kwa yanayotokea.

2. Uchaguzi Mkuu ujao 2025 tutaangukia pua tena kama 2020 (Kura kiduchu, Mbunge mmoja, aibu hii tunaipeleka wapi?).

3. Tumia Busara jiuzulu, lopolopo akaimu nafasi ya Mwenyekiti
 
Mbowe amekua muhimili wa siasa za Tz toka 2005-2015, saiv anaihujumu CHADEMA
 
Wana CHADEMA tufanye maandamano ya Amani. Kumuondoa Mboe madarakani
 

CHAWA mpumbavu ..... Mwambie CHURA ajiuzulu kwa kushindwa kulinda Raia wake.
 
1. Katiba yenu inamtambua kuwa ni Mwenyekiti wa milele?

2. Kama #1 ni NDIO mnapata uhalali gani wa kudai katiba mpya?
Mwanzo umeandika kama mwana CDM halafu baadaye umejitoa uanachama wa CDM.Maana yake nini huu uzi wako?
 
Swali fikirishi
Comments reserved
 
Mwenyekiti jiuzulu Tu kulinda heshima ya Chama
 
Huu ni muda wa kupandikiza migogoro kwa manufaa ya wenye nia ovu iwe kwa chama ama taifa,hivyo tunahitaji uthibitisho wa kila hoja inayotolewa pasi kuacha shaka yoyote katika hoja husika,bila kujali cheo wala mamlaka aliyo nayo Ntu.
 
Huyu atafia madarakani kama mzee wa kirarancha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…