Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Hao ni sawa na mapaka shume tuHadi siku muende kaburini Mbowe atakuwa amewavuruga sana......
Bila shaka dishi limeyumba! Walaani waliokuchelewesha Mirembe!Zuzu la kisiasa.
Kumbe umeshamsoma huyo kichaa.Countrywide?
Kamanda Mbwa Kachoka umefura!!CAG anahusika vipi na Chadema kulipwa ruzuku? Mijitu ya Ccm huwa hamna akili mmejaza mavi kwenye ubongo.
Wewe Ina kuhusu nini?Kwa nini hajatoa taarifa kama wamepokea ruzuku.
kwani wewe ulihama lini ccm ?Huna akili we kibaka wa Ccm.
Ni vile tunatumia tu majina feki humu ndani ila nina uhakika kabisa ingekuwa kuna mashine ya kupimia ukilaza na ujinga tupimwe mimi na wewe lazima ungenishinda mbali sana.Wewe ni kilaza.
Sema hivii kamanda kaa pembeni nikabidhi Mimi chama ili nikiue.Simug'unyi maneno wala sitaki kuwa mnafiki. Mbowe kaa pembeni.
Kwa nini unawafanya watanzania ni mazuzu wa kisiasa?.....
Mbowe Kisha Chota Akili zenuHadi siku muende kaburini Mbowe atakuwa amewavuruga sana.
Bado mko nae tu?
Mmeshashinda uchaguzi na wabunge asilimia mia 9 wote wanatoka chama chenu, hebu achaneni na siasa sasa tuleteeni maendeleo. Huyu Mbowe na watu wake mlisema anawachelewesha maendeleo mmefanikiwa kumtoa kwenye reli sasa maneno ya nini tena arawa? Ni dhambi inawasuta au ni nini?
Huu mwaka mpya aseee, tupumzisheniiiiiiii!
Hizi nguvu bado mnatumia kwa vyama vya upinzani hebu zitumieni kwenye mifumuko ya bei za korie, udongo ulaya na mengineyo.