Mbowe kaa pembeni, pisha uachie chama damu mpya

Mbowe Kisha Chota Akili zenu
Mlisha muona Mungu mtu hakosolewi
Yaani Mlivyo Vilaza mnaamini Huyo Ataweza Iongoza Nchi
Kamwe haita kuja tokea Acha Aongoze Vilaza tu Wasio jua Kukosoa na Kumfanya mungu mtu
Wewe unauwezo najuaa hilo,basi makamanda nendeni na Motochini.
 
Peleka propaganda hizo Lumumba.

Mbowe ni mwamba tumemchagua wenyewe. Wewe hiyo damu ya COVID 19 wapelekee wahusika.
 
Mbona joka la mdimu lilipigwa panga kule majanini ili lisitoe chalenji kwa joka kuu, haya mambo mengine muwe mnakaa kimya tu...
 
We million 100 ungeiacha? Utawalipa wakina lisu, mnyika mshahara kwa pesa ipi?
Nyooo! Unafikiri analipwa tundulissu au mnyika? Subutu! Hii ni NGO bwana matunda wanagawana wenye NGO.
 
Siku ruzuku ikikatika ndio siku hiyo hiyo Mbowe ataachia kitu na kumkabidhi yeyote anayetaka aweza mkabidhi hata Mdude.
Hahah sindio, uliona wapi mchagga kuachia kitega uchumi kizembe? Chadema iko kimkakati na haswa upigaji wa hio Ruzuku.
 
Vyama vya Siasa ni Ajira kama Ajira nyingine.
Nyie andamaneni, pigweni, mtajijua kazi yanu ni kupiga kura tu.
Mfano mzuri ni
Maalim Seif.
Halima Mdee.
Mbatia
Mbowe (kumbukeni maridhiano)
Zito Kabwe.
Nk.
Upinzani ni Ajira.
Fanyeni kazi mjiongezee kipato.
 
Kumbe umeshamsoma huyo kichaa.
huyo jamaa hampendagi mbowe kinoma, nahisi kamanda atakuwa anamtafuna mazeri wake!
...tena anamtafuna vibaya kwelkwel[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna maridhiano gani tena?!
Sikukuu ya Uhuru nakumbuka, alipewa nafasi ya kuzungumza pale Uwanja wa Uhuru.
Akasema anaomba maridhiano na Chama tawala.
Hajajibiwa hadi hii leo.
Mpinzani wa Kweli alikuwa Mtikila wa Chama cha DP.
Nawambieni vijana, fanyeni kazi mjipatie maendeleo.
Hao wote mnaowasaidia kwa Jasho na Damu, wapo ili wajiongezee kipato chao.
Kama mnataka ajira za Kisiasa basi endeleeni ku fight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…