Elections 2015 Mbowe kabadili gia angani, ndege inaanguka!


Mbowe si mjanja kama unavyo fikiria, kinyume chake ana u naivety wa kijinga.
Na kwa kweli tatizo la elimu ndogo ndo tunaliona sasa.
Huwezi kuondoa msomi na strategist kama Dr Slaa wenye clear vision na ukaingiza watu wenye murky past kama Lowassa na ukategemea watu hawaoni hilo.

Pili uchu wa fedha za harakaharaka za wote Mbowe na Lowassa umekiweka rehani chama ambacho kingetakiwa kuysona matatizo ya nchi bila chenga chenga.

Kushindwa kwa Chadema sasa ni wazi, wasilalamike, you can fool machingas na mama ntilie lakini wenye vichwa vyso waliamua otherwise.
 

Ukawa wamepata mafanikio sana kwenye hii move, nadhani Lipumba sasa anajuta kuuachia umwenyekiti CUF. CUF imefufuka ghafla huku Bara.

Ni mpumbavu tu asiyeweza kuona mafanikio haya.
 
Ukawa wamepata mafanikio sana kwenye hii move, nadhani Lipumba sasa anajuta kuuachia umwenyekiti CUF. CUF imefufuka ghafla huku Bara.

Ni mpumbavu tu asiyeweza kuona mafanikio haya.

Mafanikio tumeyaona baada ya Lowassa na makapi kuhania UKAWA!
Urais kwa Lowassa ndo hivyo tena, mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai, Guninita na hata vibaka wa kidiasa kina Tambwe Hiza watafutieni kazi ya kufanya.

Oppurtunists na waganga njaa kama Juma Mwapachu na Evelyn Sinare wapeni ofisi mtaa wa Ufipa ile waongozwe na Form Four leaver anayexiweza sana sarakasi za siasa za praimari.
 
Mkuu ni vizuri tuache unafiki,Chadema/CUF /NCCR vyote ni vyama vya kikanda na kidini ,angalia matokeo halafu linganisha na CCM na Magufuli
 
58% hapa kazi tu. Faida ya manabii wa kuunga unga ni kufanya majaribio ya kubadili gia za ndege angani
 

Wazee wa bao la mkono
 

CHADEMA is keep on going underground. They will soon discover gold
 
Tulitabiri ndege itaanguka, imeanguka lakini majeruhi ni salama na wanalamba majeraha!!
Pole Mbowe
Pole Lowasa
Poleni wana CHADEMA, subirini mwaka 2025, si mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…