Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Wamwache agombee kama atakazania na pasipokuwa na alternative ya maana. Na watakuwa wanalipa fadhila...Mzee Rungwe asiwe mgombea.
..wataonekana hawako serious.
..hata sera ya ubwabwa wanatakiwa waachane nayo.
Alafu watatuambia halima mdee ni mzenji barHabari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.
Kichwa na kiwiliwili cha post yako havina ushirikiano!Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.
Mbowe anacho angalia ni buyu la asali tu ...hivyo samia na ccm wanamtumia kujaribu kuhalalisha uchaguzi feki wa 2025....kamwe mbowe awezi tena kuwa upande wa wananchi 😁Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.
Hapana Awe Rungwe ili katika mikutano yake tupate ubwabwa..Mzee Rungwe asiwe mgombea.
..wataonekana hawako serious.
..hata sera ya ubwabwa wanatakiwa waachane nayo.
Wanafikiri huu ni uchaguzi wa CHADEMA bado!! Hili ndo Jeshi Lissu analitegemea!!Hawa watu wako Programmed kuzusha.
Itoshe kusema wewe jamaa huna akili!Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.