Pre GE2025 Mbowe kuongoza Vikao vya Mashauriano Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanzia 15-19 June, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ataongoza mikutano ya Mashauriano kwenye Mikoa ya Kanda ya Mashariki kama ifuatavyo:



Tanga tarehe 15 June

Arusha 16 June

Manyara 18 June

Kilimanjaro 19 June

Credit: Twaha Mwaipaya X

My take; Mcheza kwao hutunzwa
 
Makamu mwenyekiti wa chama atahudhuria hivyo vikao? Au ni vya mwenyekigoda peke yake?!
 
Kwahy mbowe ni mwenyekiti wa taifa na kanda 😎

Sawa, msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania Mbowe mambo yatakuwa humu tuu humu tuu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…