MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Apewe uenyekiti wa bodi ya parole kama hayati Mrema.Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Ameshindwa uenyekiti wenza si bora kumdemote kabisa.π π π π π€£ π π π amka ndotoni bro! Mbowe na u DC? Hiyo sio demotion?
Hapana kaka, hi itakua dharau ya hali ya juAmeshindwa uenyekiti wenza si bora kumdemote kabisa.
akiwa mbunge wa wapi?Nafasi atakayopewa Mbowe , wote mtashangaa na hamtaamini!
Naibu Waziri mkuu ni nafasi inayomsubiri hewani !