UbwabwaNimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Bado una msimamo huu?Isipotokea urudi basi kuja kutuomba radhi mkuu
AiseeMbowe hawezi kufanya huo ujinga. Bado ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CDM tena wa Kudumu.
Duh!! Watu mpo mbele ya muda sanaNimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Bodguard wake si alishatangulia hivyo ni suala la muda tuNimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.