Mbowe Kutoka kuzungukwa na Ma profesa na watu wenye Ushawishi, Mpaka kuzungukwa na Machawa

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Huyu Mzee analipeleka wapi Chama yani kutoka kuzungukwa na akina Prof Baregu, Prof Safar, Dr Mkumbo, Ntagazwa, Arfi, Dr Slaa, Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Mdee na leo kuzungukwa na Ntobi, MMM, Sugu na Boni yai

Mzee anataka watu wa ndiyo Bwana mkubwa bila kuona mbali kua anakiua chama kwa kuwatenga watu wenye weredi na kuwavuta karibu machawa

Wajumbe Mpumzisheni Mbowe
20250109_194613.jpg
 
View attachment 3196812
When role model wako ni chairman wa chma tawala, uta dance the same tune
 
Aisee Freeman is finished....hakuna mtu mwenye akili timamu atamsapoti huyu mjanja mjanja....
Ngoja ashinde ndio atashangaa
 
Watu wanatengenezwa wewe muabudu watu.

Elimu sio siasa... Hao kina Arfi ulikuwa unawajua?

Hakuna mtu special duniani, watu wanakuwa trained then wanapewa majukumu.

Siasa za upinzani zinahitaj watu loyal, ukiwatuma wanaenda..

Sio waganga njaa wanaongalia teuz CCM na kuvujisha taarifa ili wapewe vyeo.

Huyo mbelgiji alikuwa muaminifu kwa mwamba alipoenda Ulaya akili ikabadilika anamdungua mwenzake kwa mishale usiku akiwa amelala.

Hushangai Mhagama ni Waziri na Muhongo ni Mbunge wa kawaida?

Hakuna kiongozi anaependa kuzungukwa na wajuaji.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Hivi mpaka sasa kna Mwenyekiti yoyote wa Mkoa aliesimama kusema kwamba mkoa wake unamsupport FAM.?
 
SEMA MA CCM NDIO MWAPENDA HIVYO
 
Hivi mpaka sasa kna Mwenyekiti yoyote wa Mkoa aliesimama kusema kwamba mkoa wake unamsupport FAM.?
Wewe umewahi kusimama kusema unalisifia jua?

Watu wapo kimya wanasubir sikukuu ya kuonesha kwamba Mkubwa ni mkubwa
 
Back
Top Bottom