Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
When role model wako ni chairman wa chma tawala, uta dance the same tuneHuyu Mzee analipeleka wapi Chama yani kutoka kuzungukwa na akina Prof Baregu, Prof Safar, Dr Mkumbo, Ntagazwa, Arfi, Dr Slaa, Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Mdee na leo kuzungukwa na Ntobi, MMM, Sugu na Boni yai
Mzee anataka watu wa ndiyo Bwana mkubwa bila kuona mbali kua anakiua chama kwa kuwatenga watu wenye weredi na kuwavuta karibu machawa
Wajumbe Mpumzisheni Mbowe
View attachment 3196812
Ndo sisi wajumbe tunata tu dance kwa kumtupa nje atachagua muondoko wa kuondokeaWhen role model wako ni chairman wa chma tawala, uta dance the same tune
SEMA MA CCM NDIO MWAPENDA HIVYOWatu wanatengenezwa wewe muabudu watu.
Elimu sio siasa... Hao kina Arfi ulikuwa unawajua?
Hakuna mtu special duniani, watu wanakuwa trained then wanapewa majukumu.
Siasa za upinzani zinahitaj watu loyal, ukiwatuma wanaenda..
Sio waganga njaa wanaongalia teuz CCM na kuvujisha taarifa ili wapewe vyeo.
Huyo mbelgiji alikuwa muaminifu kwa mwamba alipoenda Ulaya akili ikabadilika anamdungua mwenzake kwa mishale usiku akiwa amelala.
Hushangai Mhagama ni Waziri na Muhongo ni Mbunge wa kawaida?
Hakuna kiongozi anaependa kuzungukwa na wajuaji.
Ntobi atakua anamstua mzee upo kwe kikao acha kujamba hovyo na kukoromaMugabe loyalist [emoji1]
View attachment 3196838
Alikua Ntobi peke yake na yeye wamefyekaHivi mpaka sasa kna Mwenyekiti yoyote wa Mkoa aliesimama kusema kwamba mkoa wake unamsupport FAM.?
Wewe umewahi kusimama kusema unalisifia jua?Hivi mpaka sasa kna Mwenyekiti yoyote wa Mkoa aliesimama kusema kwamba mkoa wake unamsupport FAM.?