Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Catchword ni fungulieni kesi wahusika. Very illogical and disorganized; pertur!
Watu huwa wanakuwa disciplined na jamii na siyo kesi. Mbowe akikosea ni kuna shida gani kuambiwa yuko hopelessly organized? If this is repetitive, why not we to say Mbowe's incorrigible!
 
Uko sahihi 2015 nilipita makanisa mengi ya ya KKKT Moshi nilishangaa yalikuwa na mabango makubwa eneo la kanisa karibu na mlango wa kuingia kanisani yanasomeka Pombe haitakiwi hapa

Nikauliza maana yake kwani watu huwa wameingia na pombe kanisani? wakasema Mgombea John Pombe Magufuli eneo hili haitakiwi kupewa kura!! Ni bango la kampeni

Ilikuwa kampeni kuwa karatasi ya kura ukiona jina Pombe usiipe kura mpe Lowasa KKKT mwenzetu

Anyway.kampeni za uchaguzi 2015 kilimanjaro makanisa mengi KKKT yalihusika moja kwa moja kuifanyia kampeni Chadema
 
Wachungaji wa mishahara hawawezi kuona athari hii ya kubrand Kanisa la Mungu/Yesu Kristo la KKKT kuwa sasa moja ya kazi zake ni kutumika kueneza siasa na harakati za kabila la Kichaga kuwa eti wao ni exceptional wa Makabila mengine zaidi ya 120 Tanzania. Na huu ujinga wao unaonekana kufanikiwa kwa kiwango cha kutisha. Kenya walikuwa wakimchekea Ruto na kuchukulia kimzaha alipokuwa anaendesha harakati zake za Kisiasa kupitia makanisani na sasa wanalipia gharama kubwa sana kujaribu kumzima.
 
Umemsahau enzi za Mwendazake akipewa madhabahu pale st.Peter alikuwa anasema nini?
 

Sawa Kaka ni maisha tu ya Siasa usiogope tulia bado mbona Soon Misikiti na Makanisa yataanza kudai katiba MPYA

Longolongo za kulipweka hili is useless for now because yajayo yanatisha sana kwa utawala wa CCM

View attachment 2160657

 
Mw
Umemsahau enzi za Mwendazake akipewa madhabahu pale st.Peter alikuwa anasema nini?

Mwendazake alikuwa Rais wa JMT akipeleka ujumbe kwa Watanzania wote. Mbowe ni CDM na kwa wenye akili wa Wachaga zaidi. Na rudia wenye akili na Madhabahu za KKKT hazijawahi kuwa mali ya CDM au Wachaga ni mali ya Yesu Kristo.
 
Sisi wenye elimu, hiyo tunaita ni polite language. Naona imekupa comfort pamoja na makosa yote hayo ya lugha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] just because umehisi? Come on man hiyo nayo ni point ya kujiona umesoma?

Ni kitu cha kawaida sana kwa sisi ambao si washamba wa hivyo vitu
 
Hoja inayohusu mavazi ni dhaifu kuliko zote.
 
na huyu shetani wenu anafanya nini hapa anaimba au anacheza lizombe

 
kabla kumshauri MWAMBA kaa na mumeo mshauriane jinsi ya kukuzalisha kwa uzazi wa mpango afu akili zikikurudi ndo uje kanisani kama umebatizwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] just because umehisi? Come on man hiyo nayo ni point ya kujiona umesoma?

Ni kitu cha kawaida sana kwa sisi ambao si washamba wa hivyo vitu
Washamba......! You mean what? I remember the famous mythical winged divine horse, pegasus! Don't make a mix-up of the Trojan Horse for the Greek entering Troy!
Ukiambiwa kuna watu wanakuzidi ufahamu hapa JF, kubali yaishe na tafuta muda wa kuongeza ufahamu badala ya ubishi. Ndo maana hapa kuna thrd na fora (forums ???) nyingi ili uchague unakoweza. sasa wewe unavamia kila kitu. Pudor.

btw., soma signature hapo chini
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ haya wazungu na KIDHUNGU chenu pambaneni tuone wapi patavuja
 

Waitara ashiriki ibada ya Jumapili Kanisa la PEFA Gwitiryo - Sirari​

Naibu Waziri Mabula Aibukia Kanisani Na Kuhimiza Ulipaji Kodi Ya Ardhi​

 
Suala hili linaonyesha mambo kadhaa makuu;
1 mwka 2020 uliibiwa sana.
2 CCM imeshikwa paya. Hali hii kwa CCM ilikuwando sehemu ya maisha ya viongozi wake wakuu, ila leo inafanywa na CHADEMA, mavi debe.
3 CCM inaendelea kuwagaa wa Tz kwa faida yake.

Ila wamekosea timing, wa Tz sasa washaichoka CCM ni vile tu inashikilia hazina yetu. CCM no treasury no power hata members at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…