Uchaguzi 2020 Mbowe kwaheri jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe kwaheri jimbo la Hai

nyahinga

Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
45
Reaction score
23
Huyu hapa kijana anakwenda kumg'oa mbowe kwenye jimbo lake, kijana ni hatari sana. Anajulikana kwa jina la Revocatus Lazaro atasimama kwa kiti cha CCM.
 
Dkt.Revocatus Lazaro ni kiboko yao.Ata pale chuo kikuu anakubalika sana
 
Kwani 'uyu' mzee anataka tena...? Kwani hakuna vijana watoane jasho na vijana wenzie hapo jimboni?....
 
Kuna kipindi Dkt.Revocatus alitaka kugombea urais wa TFF
Mzee yupi kwani, ni kijana tu mwangalie fb ameweka profile picture ya rais Magu, kijana huyu ni hatari sana
 
Lisimame hata jiwe kwa tiketi ya chama pendwa litashinda tuuu
 
Hii nchi imejaa matahira kila mahali! Eti "anakubalika sana"!! Nani amewaambia kuwa CcCM huwa wanategemea kura kuchukua dola mahali? Mnajifanya vipofu?!
 
Mikakati mifu fufu. Propaganda zinazoishia Lumumba tu. Sumu haionwi na ulimi
 
Mzee yupi kwani, ni kijana tu mwangalie fb ameweka profile picture ya rais Magu, kijana huyu ni hatari sana
Ni yule yule Dkt.Revocatus wa pale Moshi mjini.Ametoa misaada mingi pale hai.Wengi wamemkubali.Nyota yake imeng'aa
 
Back
Top Bottom