Mkuu huko iramba Mwigulu siku ya mkutano wa CDM aliwaleta simba sasa sijui huko kasulu ataipeleka barca na Real Madrid nini?Inatia moyo sana mkuu, hakikisha umejikoki na zana zote za kiwanahabari ili update ziwe za nguvu.
View attachment 107635
Mpaka 2015 ccm na wapambe wao watajinyonga.
Huu mpango wa hakuna kulala mpaka walale wao umempoteza Makamba Mukama Kinana Mangula na Zee la mikwara Tendwa.
Non Stop cdm.
Usisahau kupiga picha za matukio mbalimbali pia mkumbuke kufunga kamera kama mlizofunga arusha kwani policcm wanaweza wakawapiga mabom
Mkuu huko iramba Mwigulu siku ya mkutano wa CDM aliwaleta simba sasa sijui huko kasulu ataipeleka barca na Real Madrid nini?
Oh, Mama toto Mkuu
Yule anasumbuliwa na ugonjwa wa akili, damu za watu waliopoteza viungo na maisha kwa mikakati ya kishenzi.
Sasa anahamia kwenye michezo akizani watanzania wanarubuniwa kirahisi, Nikama ngoma ilopigwa na kulia sana hivyo
umefika wakati wa kupasuka. Mwigulu madelu Nchemba yupo ukingoni.
Copy, HAMY-D, Simiyu yetu, Kitoabu, [MENTION]baba yako[/MENTION]
sijaelewa maana ya hiyo picha. Mbona ccm tupo makini, tumewaacha mchezecheze ila 2015 majimbo yote tukianzia udiwani mpaka urais yatachukuliwa na ccm. Mbowe na kampuni yake ya cdm msijidanganye kuwa mtaichukua nchi
Usisahau kupiga picha za matukio mbalimbali pia mkumbuke kufunga kamera kama mlizofunga arusha kwani policcm wanaweza wakawapiga mabom
uwezo wa mwigulu ktk siasa za tz ni mkubwa sana huwezi ukamlinganisha na dj mbowe au padri slaa labda kidogo zito. Ndo maana cdm hawalali sababu ya mwigulu sasa jeshi zima la ccm likiongozwa na amri jeshi mkuu dr kikwete sijui kama cdm itasalimika
mkuu nipo kamili kila kitu kitakwenda vizuri, picha za matukio zitawekwa
Kati ya mwigulu na mahakama nani anastahili kikatiba kutoa malelezo na maamuzi ya haki?
-cd ya uwongo ya Lwakatale -Mwigulu
-ugaid wa kupika kwa Kilewo - Mwigulu
-kusema uwongo na ovyoovyo - Mwigulu
Kama kunawatanzania wanaomwamwini Mwigulu mpaka sasa lazima wanatatizo
Kati ya mwigulu na mahakama nani anastahili kikatiba kutoa malelezo na maamuzi ya haki?
-cd ya uwongo ya Lwakatale -Mwigulu
-ugaid wa kupika kwa Kilewo - Mwigulu
-kusema uwongo na ovyoovyo - Mwigulu
Kama kunawatanzania wanaomwamwini Mwigulu mpaka sasa lazima wanatatizo
Hivi CCM walimpata wapi huyu Bwana Savimbi? walimweka pale kwa Mission gani?
Mambo ni mazuri sana, kiwanjani hapa watu ni wengi sana na mda wowote ule kuanzia sasa watatua ndani ya viwanja hivi. Makamanda wa kasulu sadock ntahindwa, fanuel sindika na mawazo itibali wanaendelea kuweka mambo sawa. Pipooooziiiiii