Mbowe, Lissu, Mnyika na Marando ndani ya Kasulu leo

Mnyika yupo jukwaa anaongelea raslimali za taifa
 
Amepanda lissu ameanza kutoa elim ya katiba watu wanamshangilia sana
 
Mkuu huko iramba Mwigulu siku ya mkutano wa CDM aliwaleta simba sasa sijui huko kasulu ataipeleka barca na Real Madrid nini?

hiyo ni political masturbation mama toto: sasa kama ni kitu kizuri au la, that is a different story...
 
Lissu anafafanua juu ya suala la muungano na msimamo wa cdm juu ya muungano
 
sijaelewa maana ya hiyo picha. Mbona ccm tupo makini, tumewaacha mchezecheze ila 2015 majimbo yote tukianzia udiwani mpaka urais yatachukuliwa na ccm. Mbowe na kampuni yake ya cdm msijidanganye kuwa mtaichukua nchi

kama huelewi hata picha basi wewe ni wa kuhurumiwa !
 
Ni mboko za kiuno mpaka washike adabu..kamanda lema ilifaa naye aende kigoma
 
inasemekana picha zina sauti nyororo sana kuliko talalila tupu .
 
Binafsi nauheshimu mkoa wa singida kwa sababu ya mtanzania mzalendo aitwaye Tundu lissu na sio Mwigulu chemba, yule mlipuaji na wakujipendekeza kwa maclub ya mipira !
 
Nimeudhuria mkutano huu, yaonekana chadema wana mastrategist wazuri. Ccm wamepgwa ngumi ya jicho. Kwakuwa watu hawamjui lisu. Alivyoanza kuongea alikuwa amevaa kofia. Akaombwa avue wamuone vizuri. Amechambua mambo mengi na watu wameelewa yaliyomo kwenye rasimu. Kasema eti wasira na nape wanawakejeli jaji warioba na salimu ahmed. Wakati rasimu inataka madaraka ya rais yapunguzwe, wao ccm wametoa kitabu kurasa 32 kinataka rais abaki na madaraka makubwa pia tuendelee kuwa na serikal 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…