Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Na Msigwa alianza hivi hivi, baadaye tukasikia huyoooo anazima nyingine na kuwasha kijani!
=====
Mbowe anasema serikali ya nusu mkate haijawahi kuwa ajenda ya chadema mahali popote, yeye mwenyewe anashangaa mtu amezuka huko na kusema eti Mbowe ameahidiwa kupewa uwaziri mkuu, huo ni uongo, akisema uwaziri mkuu ni suala la kikatiba.
Na kwamba viongozi wa chadema wakiwa wanaongelea masuala haya basi wawe wanaongea kwa facts ili waonekane ni chama makini.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Anasema aliyemuahidi ahadi lukuki alikuwa magufuli, akamwambia ajiunge na ccm na atapewa cheo chochote anachotaka na pia atakuwa mbunge lakini alikataa.
Mwishoni alimwambia aachane na chadema, afanye biashara yoyote lakini aachane na chadema na kwamba atarudishwa mali zake zote, lakini bado alikataa.

Pre GE2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa. Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo. Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...