Muda wowote kuanzia siku ya leo Freeman Mbowe atatangaza kusitishwa kwa maandamano na kurejea kwenye meza ya mazungumzo. Why..?
Yapo mambo matano utafiti wa kisayansi ambao ulionyesha wazi Freeman Mbowe hatoweza kufanikiwa katika lengo lake.
1. Personal interest; Mbowe anatoa tamko la maandamano akiwa peke yake bila wajumbe wengine wa kamati kuu. zaidi alikuwa na chawa wake.
2. Escape route; Mbowe anaonekana akiomba sapoti ya makazi kwa muda kwa moja ya balozi hapa nchini. Hii ndiyo njia itakayomrudisha mezani kwenye maridhiano.
3. We are not together; Tundu Lissu Anahamasisha Wananchi kuipa hamasa Taifa Stars huko Ivory Coast atakuwepo hadi tarehe 24 January. (Middle finger) siku ya Jana alifika kwenye kambi ya Taifa Stars na kuzungumza na wachezaji wa timu ya Taifa kuwapa moyo.
4. Disorganized; Mnyika anajibu hoja za taarifa ya maandamano ni maazimio ya kamati kuu. Ukweli anaujua ni taarifa anayo yeye yeye na Mbowe tu.
5. Business as usual;Lema ana share taarifa yupo CANADA na familia yake maisha yanaendelea kama kawaida. Ataandamana akiwa mbali. (business as usual
Ndiyo maana tunasema Tatizo lao linaanzia mbali sana, sio tu kwenye kujua sehemu ya kupeleka matatizo yao, nature ya matatizo yao pia hawayajui.!