Mbowe mpaka sasa kwenye ziara ya kidigital hajauliza alipo Ben Saanane

Mbowe mpaka sasa kwenye ziara ya kidigital hajauliza alipo Ben Saanane

Ulinzi na usalama wa raia Tanzania kikatiba kupitia serikali nikazi ya
1. polisi
2. Usalama wa taifa

A) Je serikali imechunguza nakutoa taarifa yoyote?

B) Ni vipi mbowe anashughurika na usalama wa watanzania kisheria na kwamba ana vyombo gani vya kiuchunguzi?
 
Nafikiri akili yako sio timamu.
 
Kwani kuna mwana CCM amewahi kuuliza

Daudi Mwangosi alikufaje?

Dr Mvungi alikufaje?

Azory Gwanda yuko wapi?

Ben Saanane yuko wapi?

Kesi ya Akwilina iliishia wapi??

Waliouwawa Zanzibar October 2020 haki ya wafiwa wataipata wapi??

Waliokufa kwa Covid -19 huku tukiamishwa haipo haki ya wafiwa wataipata wapi?

Pesa za EPA ziko wapi??

Pesa za Escrow ziko wapi?

Hayo ni machache tu...
 
Nakwasababu Mungu ndio Alpha na Omega

Akamnyakuwa mwendazake pia ili akajieleze, mamlaka ya kuondolea wengine life aliyapata wapi?

Sasa hivi kesi inaunguruma huko kwa Almighty God.
Thibitisha.
 
Kwani kuna mwana CCM amewahi kuuliza

Daudi Mwangosi alikufaje?

Dr Mvungi alikufaje?

Azory Gwanda yuko wapi?

Ben Saanane yuko wapi?

Kesi ya Akwilina iliishia wapi??

Waliouwawa Zanzibar October 2020 haki ya wafiwa wataipata wapi??

Waliokufa kwa Covid -19 huku tukiamishwa haipo haki ya wafiwa wataipata wapi?

Pesa za EPA ziko wapi??

Pesa za Escrow ziko wapi?

Hayo ni machache tu...
As long as haipo kwenye interests zao hawawezi kuhoji kama ambavyo akina Mbowe sasa hivi wameufyata. Hao ndiyo wanasiasa, wanaangalia masilahi yao tu.

Enzi za Magufuli akina Mbowe walihoji kwa kuwa walijua wakifanya hivyo watanufaika, walikuwa na masilahi.

Ben, Azory, et al walitumiwa na CHADEMA, what a betrayal!
 
Hivi Ben hakuwa mtu wa karibu yake na msaidizi wake?

Hivi Ben hakuwa mtu muhimu kwa chama chetu?

Mbona sisikii kamanda mkuu akiuliza hatima ya huyu ndugu yetu? Kunani?
Mbona tumeanza tena kupangiana cha kufanya?? Mmesahau kuwa tumegawana majukumu? Wengine wanasifia ilhali sisi tunaponda?? Kama kazi zenu zimeisha semeni tuwape nyingine!

Mdude walipomkamata mara ya pili na kumweka kwenye gari walianza kumpiga kichwani na chupa na mateke alipopiga kelele “Mungu wangu” mmoja akamwambia “Mwambie aje akusaidie”
Baadaye walimng’ing’iniza na kumpiga shoti za umeme!

Wew ni hopeless kabisa
 
hapa ndio unajifunza,mchuma janga hula na wa kwao.

kama kamanda azori na ben waliyafanya kwa kuipigania chadema,wasingeachwa hivi hivi,but watu wameshasahau wanapambania katiba na na covid 19.
 
Mbona tumeanza tena kupangiana cha kufanya?? Mmesahau kuwa tumegawana majukumu? Wengine wanasifia ilhali sisi tunaponda?? Kama kazi zenu zimeisha semeni tuwape nyingine!

Mdude walipomkamata mara ya pili na kumweka kwenye gari walianza kumpiga kichwani na chupa na mateke alipopiga kelele “Mungu wangu” mmoja akamwambia “Mwambie aje akusaidie”
Baadaye walimng’ing’iniza na kumpiga shoti za umeme!

Wew ni hopeless kabisa
Pumbavu.
 
Kwani kuna mwana CCM amewahi kuuliza

Daudi Mwangosi alikufaje?

Dr Mvungi alikufaje?

Azory Gwanda yuko wapi?

Ben Saanane yuko wapi?

Kesi ya Akwilina iliishia wapi??

Waliouwawa Zanzibar October 2020 haki ya wafiwa wataipata wapi??

Waliokufa kwa Covid -19 huku tukiamishwa haipo haki ya wafiwa wataipata wapi?

Pesa za EPA ziko wapi??

Pesa za Escrow ziko wapi?

Hayo ni machache tu...
Pesa za escrow si kaachiwa bwashee wenu Singa singa nyi mkafurahi
 
Back
Top Bottom