Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Muulize Kubenea!Hivi Ben hakuwa mtu wa karibu yake na msaidizi wake?
Hivi Ben hakuwa mtu muhimu kwa chama chetu?
Mbona sisikii kamanda mkuu akiuliza hatima ya huyu ndugu yetu? Kunani?
Nini?Muulize Kubenea!
Nafikiri akili yako sio timamu.Ulinzi na usalama wa raia Tanzania kikatiba kupitia serikali nikazi ya
1. polisi
2. Usalama wa taifa
A) Je serikali imechunguza nakutoa taarifa yoyote?
B) Ni vipi mbowe anashughurika na usalama wa watanzania kisheria na kwamba ana vyombo gani vya kiuchunguzi?
Akiuliza ndio unapata faida gani? Taarifa zilizopo Ni kwamba mwendazake aliifanya kazi kwa mikono yake yeye mwenyewe
Nafikiri akili yako sio timamu.
Wewe huna akili kabisaNafikiri akili yako sio timamu.
Thibitisha.Nakwasababu Mungu ndio Alpha na Omega
Akamnyakuwa mwendazake pia ili akajieleze, mamlaka ya kuondolea wengine life aliyapata wapi?
Sasa hivi kesi inaunguruma huko kwa Almighty God.
As long as haipo kwenye interests zao hawawezi kuhoji kama ambavyo akina Mbowe sasa hivi wameufyata. Hao ndiyo wanasiasa, wanaangalia masilahi yao tu.Kwani kuna mwana CCM amewahi kuuliza
Daudi Mwangosi alikufaje?
Dr Mvungi alikufaje?
Azory Gwanda yuko wapi?
Ben Saanane yuko wapi?
Kesi ya Akwilina iliishia wapi??
Waliouwawa Zanzibar October 2020 haki ya wafiwa wataipata wapi??
Waliokufa kwa Covid -19 huku tukiamishwa haipo haki ya wafiwa wataipata wapi?
Pesa za EPA ziko wapi??
Pesa za Escrow ziko wapi?
Hayo ni machache tu...
Mbona tumeanza tena kupangiana cha kufanya?? Mmesahau kuwa tumegawana majukumu? Wengine wanasifia ilhali sisi tunaponda?? Kama kazi zenu zimeisha semeni tuwape nyingine!Hivi Ben hakuwa mtu wa karibu yake na msaidizi wake?
Hivi Ben hakuwa mtu muhimu kwa chama chetu?
Mbona sisikii kamanda mkuu akiuliza hatima ya huyu ndugu yetu? Kunani?
Pumbavu.Mbona tumeanza tena kupangiana cha kufanya?? Mmesahau kuwa tumegawana majukumu? Wengine wanasifia ilhali sisi tunaponda?? Kama kazi zenu zimeisha semeni tuwape nyingine!
Mdude walipomkamata mara ya pili na kumweka kwenye gari walianza kumpiga kichwani na chupa na mateke alipopiga kelele “Mungu wangu” mmoja akamwambia “Mwambie aje akusaidie”
Baadaye walimng’ing’iniza na kumpiga shoti za umeme!
Wew ni hopeless kabisa
Unataka kuturudisha Misri wakati sisi tunaelekea KaananiPumbavu.
Pesa za escrow si kaachiwa bwashee wenu Singa singa nyi mkafurahiKwani kuna mwana CCM amewahi kuuliza
Daudi Mwangosi alikufaje?
Dr Mvungi alikufaje?
Azory Gwanda yuko wapi?
Ben Saanane yuko wapi?
Kesi ya Akwilina iliishia wapi??
Waliouwawa Zanzibar October 2020 haki ya wafiwa wataipata wapi??
Waliokufa kwa Covid -19 huku tukiamishwa haipo haki ya wafiwa wataipata wapi?
Pesa za EPA ziko wapi??
Pesa za Escrow ziko wapi?
Hayo ni machache tu...