"Mbowe must go " ni kuibananga katiba ya Chadema.

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"...

Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo.

Katiba ya Chadema iheshimiwe

Katiba ya CCM nayo hivyo.

Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi.....

Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia za kidemokrasia tu hawakuvumiliwa na watu wa mwenyekiti wa muda mrefu mh.Mbowe.

#Nchi Kwanza😍

#Katiba ya nchi ni msahafu mtakatifu wa nchi 😍

#Al jumua Maqbool😍😍
 
Huwa nakerwa sana na kijana ambaye akili yake imegubikwa na uchama hata kwa yaliyo wazi kabisa..Watu wanapotea na kuuwawa lakini mtu wala hajali na hayamuhusu....
 
Mbowe akae hata miaka 100 habdilishi maisha yako, hapunguzi wala kuongeza bei ya sukari. Mtafute mchawi wako
 
Kweni "SAMIA MUST GO" imeshakuwa Confirmed au ni ultimatum?!
 
..kampeni ya " mbowe must go " ni sawa kwa wale wasioridhika naye.

..kampeni ya " samia must go " ni sawa kwa wale wasiorodhika na uongozi wake.

..jambo la kujiuliza ni nini kimewakera hao waliokuja na kauli mbiu hizo?

..Na Mbowe, na Samia, wanachukua hatua gani kurekebisha yaliyojitokeza.
 
Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"...

Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo.

Katiba ya Chadema iheshimiwe

Katiba ya CCM nayo hivyo.

Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi.....

Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia za kidemokrasia tu hawakuvumiliwa na watu wa mwenyekiti wa muda mrefu mh.Mbowe.

#Nchi Kwanza😍

#Katiba ya nchi ni msahafu mtakatifu wa nchi 😍

#Al jumua Maqbool😍😍
Unashangawa na watanzania wewe, Samia Must Go.
 
Huwa nakerwa sana na kijana ambaye akili yake imegubikwa na uchama hata kwa yaliyo wazi kabisa..Watu wanapotea na kuuwawa lakini mtu wala hajali na hayamuhusu....
Mkuu mimi ni binadamu na naguswa na hisia za maumivu kwa wenzangu....

Nilichokiandika pamoja na HISIA hizo ila katiba ya nchi ni UHALISIA....

Katiba inatambua na kuulinda urais wa mh.Samia Suluhu Hassan 😍

#Nchi Kwanza😍
 
Back
Top Bottom