Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mbowe akae hata miaka 100 habdilishi maisha yako, hapunguzi wala kuongeza bei ya sukari. Mtafute mchawi wakoNdani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"...
Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo.
Katiba ya Chadema iheshimiwe
Katiba ya CCM nayo hivyo.
Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi.....
Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia za kidemokrasia tu hawakuvumiliwa na watu wa mwenyekiti wa muda mrefu mh.Mbowe.
#Nchi Kwanza๐
#Katiba ya nchi ni msahafu mtakatifu wa nchi ๐
#Al jumua Maqbool๐๐
Unashangawa na watanzania wewe, Samia Must Go.Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"...
Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo.
Katiba ya Chadema iheshimiwe
Katiba ya CCM nayo hivyo.
Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi.....
Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia za kidemokrasia tu hawakuvumiliwa na watu wa mwenyekiti wa muda mrefu mh.Mbowe.
#Nchi Kwanza๐
#Katiba ya nchi ni msahafu mtakatifu wa nchi ๐
#Al jumua Maqbool๐๐
Mkuu mimi ni binadamu na naguswa na hisia za maumivu kwa wenzangu....Huwa nakerwa sana na kijana ambaye akili yake imegubikwa na uchama hata kwa yaliyo wazi kabisa..Watu wanapotea na kuuwawa lakini mtu wala hajali na hayamuhusu....
Huo ni uhaini....Unashangawa na watanzania wewe, Samia Must Go.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMwisho tutasikia " Lucas Must Go"
๐๐๐๐๐
ChamaHuwa nakerwa sana na kijana ambaye akili yake imegubikwa na uchama hata kwa yaliyo wazi kabisa..Watu wanapotea na kuuwawa lakini mtu wala hajali na hayamuhusu....