Fafanua kidogo mkuuChadema...! mmmh! Ni sikio la kufa..!
Nachotaka mkuu, si hicho wewe umeandika, Naitaka Chadema irudi kwenye hadhi yake ili iendelee kujipatia heshima yakeHaya tumempuuzia Mbowe tumeshakusikiliza wewe mkuu kuna lingine la kuongezea?
Mkuu naona ulijiunga hapa jukwaani siku moja baada ya kifo cha dhalimu kutangazwa. Hizi id inafahamika kwanini zilijiunga japo jukwaani.Fafanua kidogo mkuu
Badala ya kushughulikia hili ambalo linaangusha heshima yao, wanakimbilia jambo kuuubwa, na kipimo chake ni uadilifu wa huku ulikompaka sasa baraza kuu halijakaa kusikiliza rufani ya co vid 19 huu ni usanii kama usanii mwingine isitoshe hao wabunge wengine ni wake au vimada wa viongozi wa chadema
Shida yako ni nini?Mkuu naona ulijiunga hapa jukwaani siku moja baada ya kifo cha dhalimu kutangazwa. Hizi id inafahamika kwanini zilijiunga japo jukwaani.
Wanajuana vizuriMimi nauliza kwanini kwenye mikutano yake mbowe hata siku moja hajawahi kuongelea hao covid 19?
mtu aliyekosa hoja, mfanano wake ni kama wewe bossMkuu naona ulijiunga hapa jukwaani siku moja baada ya kifo cha dhalimu kutangazwa. Hizi id inafahamika kwanini zilijiunga japo jukwaani.
Kanywe majiNi lini mh Mbowe na Chadema wameitisha mandamano ya kwenda kuwang'oa wabunge wake walioko bungeni,ambao anasema hawapo kisheria kwa mjibu wa katiba ya Chama anachokiongoza?
Ni kivipi suala la katiba analishikia bango na kwa sauti kubwa ili hali sauti na nguvu kama hii anayotaka kuitumia hajawahi kuionesha kwa wanaojinufaisha kupitia chama chake?
Tukisema anavuta mpunga kutoka kwa wabunge wasiotambuliwa na chama (Kimagumashi) huku yeye akiwatambua na kufanya jambo hili kuwa la siri siri ili yeye kuendelea kuvuta mpunga ni kosa?
Kama kweli Mh Mbowe na chama chake wamedhamilia kudai katiba mpya tena kwa vitisho na mikutano kila pahala, waanze kwanza kufanya hivyohivyo kwa kuwatoa wabunge wanaoendelea kutumia jina la chama chao ili hali Chama kinadai hakiwatambui
Watanzania, hivi ni kwa nini tusiwapuuze Chadema kwa hadaa hizi,
Kama chama chenyewe kwa chenyewe kinashindwa kufanya mambo yake kwa ukamilifu, inakuwaje watusumbue kuhusu katiba tena ya nchi ambayo inahitaji uadilifu mkubwa katika kuisimamia?
Mbowe na Chadema mmeshindwa kuisimamia katiba na mambo yenu, mtaweza kuisimamia Katiba ya nchi na kuitendea haki?
Sisi wazalendo tunasema! Masilahi kidogo mnayoyapata kwenye kuivunja katiba ndogo ya chama chenu, sasa mnatafuta masilahi makubwa katika Katiba ya nchi, Mtashindwa!
Tunataka katiba, ila ni vyema tuonyeshe uwezo wa kusimamia katiba ndogo za vyama vyetu kwa hali na mali, kwa nguvu na jasho, ndipo tuitafute katiba ya nchi tukiwa na ujasiri mkubwa!
Katiba siyo jambo la msingi mkuu.?hali ya nchi yetu unaelewa ilivyo unawezaje kufuatilia mambo ya msingi wananchi wakakuelewaNachotaka mkuu, si hicho wewe umeandika, Naitaka Chadema irudi kwenye hadhi yake ili iendelee kujipatia heshima yake
Na hiyo heshima inayopotea, ni kuacha na kupuuza mambo ya msingi huku wakikimbilia mambo magumu zaidi kueleweka kwa kuwa, msingi wao sio huo ambao leo chadema wanakuja nao
Ni jambo mhimu sana mkuu, shida ni kwa nini wanataka jambo kuuubwa na wakati mambo madogomado yamewashinda?Katiba siyo jambo la msingi mkuu.?hali ya nchi yetu unaelewa ilivyo unawezaje kufuatilia mambo ya msingi wananchi wakakuelewa
Nimesomaaa, lakini nilichogundua ni kwamba, wewe ni mwanachadema tena mwenye imani kali!Ni lini mh Mbowe na Chadema wameitisha mandamano ya kwenda kuwang'oa wabunge wake walioko bungeni,ambao anasema hawapo kisheria kwa mjibu wa katiba ya Chama anachokiongoza?