Mbowe na Chadema, mmeshindwa na mtashindwa tena!

Nimesomaaa, lakini nilichogundua ni kwamba, wewe ni mwanachadema tena mwenye imani kali!

Ulichokikosa ndicho unachokihimiza kirudishwe haraka na chama chako, na ulichokosa ni ile mikikimikiki ya chadema enzi zilee za kina Doct Slaa
Mkuu, sinaga chama mimi, nakuwa mshabiki wa mtu jasiri kama ilivyokuwa kwa JPM, hao ndio napenda kuwashabikia na huwa sijifichi, stakagi watu wanafiki mimi, waoga waoga na wakati mtu umezungukwa na kila kitu,
 
Tunataka katiba tutamuunga mkono yeyote kudai katiba, kumshambulia mbowe na chadema haitasaidia
 
pumbavu! Kamuulize, dungai, Samia na na lile bwege la nec
Taratibu mkuu, matusi ya nini sasa?

Kuandamana na kufanya ukaidi mbele ya amiri jeshi kudai katiba bika kufuata sheria, je ni kosaa au sio kosa?

na kama ndivyo, kwa nini msifanye hivyohivyo kwa wabunge wenu uchwara, Msimtishe Rais, Mfahamu tuliapa kumlinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…