Mbowe na Lissu wanavuana nguo kwa sababu ya Demokrasia, ndiyo mjue kuwa si kila kitu ni chema ndani ya demokrasia

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Eti kwa sababu ya uhuru wa kuongea leo marafiki wanavuana nguo mbele ya watoto!! Natamani ningekuwa na namba ya Mbowe nimuulize anajisokiaje. Je panauma au patamu!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ndiyo mjue kuwa kuna maneno mengine yanaudhi na yanaweza kukusababishia uchue maamuzi magumu ya kijinga!

Democrasia haikutakiwa kutufanya tuvue utu wetu na kuanzia kuvuana nguo mbele za watoto wetu na maadui wetu.
 
Sio kweli; Mbowe kajivua nguo kwa ulaghai wake; Heshima ya Mbowe is nothing compared to watu waliopoteza maisha kupambana values ambazo Mbowe anazivunja!
 
Hii ndio demokrasia yenyewe sasa, Chadema wanaonesha kwa vitendo kwamba wao ni chama cha demokrasia kwelikweli.

Wamalizie kwa uchaguzi wa haki, huru na uwazi kwenye uenyekiti wabebe kombe lao la demokrasia.

Lazima tuishi kwenye misingi ya kuambiana ukweli.
 
Wewe sema waafrika hamjastaaarabika, haijalishi mfumo gani, kwa tabia zenu hizi mambo hayataenda.
Nchi za wenzetu wenye democracy mbona wame staarabika? Au wao wanatumia nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…