johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli nafasi ya Tundu Lisu kupitishwa na Chadema kuwa mgombea urais ni ndogo sana.
Washindani wa Lisu mh Mbowe na Nyalandu waliwahi kwenda katika hekalu la mfalme Suleiman mjini Yerusalemu ambako waliweka nia zao mbele ya Mwenyezi Mungu.
Nyalandu alisema wakati wanaweka nia zao kwa maandishi katika ule ukuta mtakatifu hakuna aliyejua mwenzake amenia nini lakini sasa jambo hilo limefunuliwa miongoni mwao.
Lisu angeomba ubunge ili panapo majaliwa awe waziri.
Maendeleo hayana vyama!