johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jo naona unateseka sana na hiki chama
Mpaka anatia HURUMAYuko busy kila siku kuja na UZUSHI wa kila aina.
Chama Cha mfukoniJo naona unateseka sana na hiki chama
Mwenye Sacco's yake ndio mwenye uamuzi [emoji23][emoji1787][emoji2960]Labda Nyalandu, but not Mbowe, japo kidemokrasia anaruhusiwa, ila kwa nafasi yake ya sasa haimruhusu kiungwana tu, but maamuzi ya mwisho anayo Mbowe mwenyewe na chochote atakachoamua ni haki yake, kwani hakuna kanuni wala sheria yoyote inayombana asigombee Urais.
Fungua na ww ya kwakoMwenye Sacco's yake ndio mwenye uamuzi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Mungu hana dini lakini binadamu tuna dini!Maendeleo hayana chama wakati wewe una chama