johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hii nchi kama Kuna Viongozi wasioyumba kikauli basi ni Mzee Kinana wa CCM na Shehe Ponda wa BAKWATA
Na Kiongozi pekee wa siasa asiyeishi na nongwa moyoni mwake ni Freeman Mbowe mnyasa wa Mbambabay aliyehamia Machame Kwa sasa ni Mwenyekiti wa Chadema
Watatu Hawa hawajawahi kutamka popote pale kwamba Shujaa Magufuli ni Muuwaji
Siasa ni kimbilio la Mtu yoyote Lakini Wateule Wenye karama ni Wachache Sana sana na hawafiki 0.001% Kwa mujibu wa tafiti
Nawatakia Sabato ya Kwanza 2025 yenye Baraka 🌹😃